INTERVIEW YA DIRECTOR WA FILM YA £OVELY GAMBLE AMBAYO INAZINDULIWA LEO CLUB BILLICANAS JIJINI DAR ES SALAAM




Interview ya Director wa filamu ya £ovely Gamble kutoka Kenya, Bw. Rennison Okemwa, akitoa mtazamo wake kuhusiana na filamu hiyo wakati akihojiwa na Jestina George. Interview hii pia itakuwa hewani katika ukumbi wa Billicanas jijini Dar leo kuanzia saa tatu usiku.

Comments