LAUNCH YA FILAMU YA £OVELY GAMBLE DAR YAFANA. (ALL PICTURES COURTESY OF GLOBAL PUBLISHERS) MORE TO FOLLOW...!!!



Steven Kanumba akihojiwa na mwanahabari kabla ya kuanza kwa uzinduzi
..steling wa picha hiyo ambaye aliigiza kama mpenzi wa kanumba..Mecky (kulia) akila pozi na nyota mwenzie wa filamu bongo Dk Cheni
Ma producer wa muvi..Alan Kalinga na Asha Baraka kwenye 'red carpet'
...Lady JayDee (kushoto) akihokiwa na mtangazaji wa Star Tv kwenye red carpet kabla ya kuingia ukumbini
Wasanii Ray (kushoto), producer wa £ovely Gamble, Alan Kalinga, steling wa filamu hiyo Steve Kanumba na Dk Cheni wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya club billicanas wakati wa uzinduzi wa filamu hiyo bongo uliofanyika usiku wa kuakia leo na kuhudhuriwa na mastaa kibao.


Comments

Post a Comment