PICHA ZAIDI ZA UZINDUZI WA FILAMU YA £OVELY GAMBLE ULIO FANYIKA JANA USIKU NDANI YA CLUB BILLICANAS DAR ES SALAAM...!!!

Meckyladiva akikabidhiwa cheti na Barka Msiliwa
Kanumba akiwa katika pose na Baraka Msilwa baada ya kukabidhiwa cheti
Ankal nae alijipatia chake
Allan Kalinga akikabidhiwa cheti chake
Ma superstar wa bongo Kajala, Mecky na super model DAXX
Amos Msanjila, Baraka Msilwa, Amigolous na wageni wengine walio hudhuria uzinduzi huo
Wasanii wa bongo moies wakionyesha support

Makamuzi yakiendelea kama kawa

JB na Ray wakiwakilisha

Kanumba, Afisa Ubalozi UK Amos Msanjila na Allan Kalinga
Wazee wa Clouds Joseph Kusaga & Ruge Mutahaba
Mambo yakiendelea

Wasanii wa Bongo flava hawakubaki nyuma
Mstari wa watu kuingia ndani
Kwa habari zaidi tembelea hizo blog. Thanks & enjoy

Comments

Post a Comment