GHANA OYEEEEEE!!!!!!!!!!!!!

Shabiki wa Ghana akifanya vitu vyake
Mpaka Ndinga zilipakwa bendera ya Ghana
Team Ya Urban Pulse Wakiwa Kazini wakifanya mahojiano na washabiki wa Ghana
Washabiki wakumwaga.
---
Kwa mara nyingine tunapenda kuwaletea wadau wote wa libeneke yaliojiri hapa ukerewe katika kitongoji jana usiku cha Mji Tottenham kususiana na ushindi wa Ghana.

Washibiki wote wa mpira walikusanyika pamoja na kusherekea ushindi wa Ghana kwa staili ya kipekee.

Haya ndio mambo ya Waghana na wadau wa mataifa mengine wakisheherekea na kurusha nyuki kushangilia ushindi wa timu yas taifa ya Ghana THE BLACKSTARS dhidi ya timu ya Marekani  kwa Obama.

Habari ndio hiyo

Mungu Ibariki Africa, 

Urban Pulse Production

Comments