Utawala wa Urban Pulse unapenda kuwaletea exclussive behind the scene kwa wadau wote wa libenekene kuhusu matayarisho na maandalizi ya Miss & Mr East Africa UK 2010 yaliyofanyika katika kitongoji cha Edmonton, Ukerewe Jumamosi 26.6.10
Fainali ya kuwania Taji la U miss na U mr East Africa UK litafanyika jumamosi 3rd July 2010katika ukumbi wa Central Hall,Westminister, London wote mnakaribishwa.
Mdau
Frank Eyembe
Urban Pulse
Comments
Post a Comment