The beautiful Bride to be
Bi harusi nyongaaaaaaa
BEAUTIFULLLLLL Bride
Dada wa Bi Harusi akitoa nasaha
MC wa shuguli Bi Khadija Mwanamboka
matron wa bi harusi dada mzungu nae anaviweza
heeeeee warembo wanajituma
kataaa kaataaaa dada kataaaa
Mambo ya juice ya kungu with the beautiful Devota Diva
Baadhi ya wageni wamependeza sana
Beautiful Marsha & Halima all the way from UK wakiwakilisha
Herry looking hawtt in white linen
Marafki wa bi harusi ndani ya 8020fashions red carpet
Sare imenoga sana watu full chui chui
Hii nayo ilikuwa sare nyingine warembo wamependeza sana
Mishi & her sis looking fab
Dada wa bi harusi Jacqui looking stunning
The beautiful Sarah aka Mrs. Raqey reppin
Mda wakumtunza mwali
Sasambua timeeeee watu weweeee
The beautiful sabah Coco & Sisters na madira yao ya ukwelii
Jackie & Maryam looking fab
Shuguli ilijaa warembooo
Dada wa 8020fashions.blogspot.com na Dada wa Summer Trendz wakiwakilisha
Bride to be with her sisters
YOUNG, BLACK & BEAUTIFUL (Jacque, Jocelyn, Diva & Sarah)


























Comments
Post a Comment