TAMASHA LA KUCHANGIA UTAFITI WA CANCER MJINI READING...!!!



Urban Pulse Creative inapenda kuwataarifu wadau wote hususani hapa Ukerewe kuwa kutakuwa na tamasha maalum la kuchangia utafiti wa Cancer UK  Jumamosi tarehe 14.8.10 hapa hapa mjini kusoma kuanzia 19.30-22.00. Kutakuwepo na makamuzi  ya nguvu kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwepo Mish ze fyah sis anaetamba na kibao chake cha freedom, beautiful Ordain wote kutoka Urban Pulse na Safi soundz. Msanii maalum ambae atakae kuwa headliner Ni LADY NY. Mbali na hapo pia kutakuwa na mchakato wa bahati nasibu na zawadi kemkem zitatolewa  kwa washindi.
Address ni 21 Southstreet,
 Reading. RG1 4QU
Kiingilio £6.00 viti vya kawaida  na £12.00 kwa VIP’S
Kwa mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana Nazeer Zulqarnain on 07925242050 au tembelea link katika kitabu chetu cha uso www.facebook.com/beenazevent
Wote Mnakaribishwa,
Frank Eyembe
Urban Pulse Creative

Comments