TANZIA READING UK..!!!

Marehemu Magesa Mwijarubi enzi za uhai wake.
---
Familia ya Ezekiel Mukundi wa Reading-United Kingdom, inasikitika kuwatangazia msiba wa Magesa Mwijarubi (Kaka ya mke wake - HAPPY) kilichotokea alfajiri ya tarehe 25/01/2011 Dar-es-salaam-Tanzania.



Marehemu ni kaka ya : HAPPY MUKUNDI na DOTTO MWIJARUBI wote wakazi wa Reading UK
Habari za msiba huu ziwafikie watanzania wote waishio Reading na sehemu zingine za UK na ndugu wote, jamaa na marafiki popote walipo.
TEL: 0782633425; 07776423030; 07990697949
ADDRESS: 9 FRIETH CLOSE, LOWER EARLY,READING. RG6 5UY
Blog hii inapenda kuwapa pole wafiwa wote.

Comments