TANZIA READING UK

Ndugu Aggrey Urio wa Reading-United Kingdom, anasikitika kuwatangazia msiba wa mdogo wake Huruma Urio 
kilichotokea jana 25 Jan 2011 nyumbani Tanzania.



Habari za msiba huu ziwafikie watanzania wote waishio Reading na sehemu zingine za UK na ndugu wote, jamaa na marafiki popote walipo.
TEL: 07760404352 (Aggrey)
MSIBA UPO: 
19 BARNWOOD CLOSE, READING RG30 1BY
May his soul R.I.P
Blog hii inapenda kuwapa pole wafiwa wote.

Comments