BREKING NEWZZZZZZ!!! DADA WA KIKOMBE AIBUKA MORO aka MJI KASORO BAHARI LEO!!!!!

Bi Fatma Sengo akiandaa vikombeeee
Akitoa maelezo ya kikombe kwa viongozi na waandishi wa habari
Mtoto Ashinuri (4)akigawa dawa kwa wagonjwa inayodaiwa kutibu maradhi mbalimbali na ndiye anayehusika kupokea fedha na kutoa dawa.
Wadu wako fasta!! 

Dada Fatma Said Senga ( 41) mkazi wa Kata ya Kichangani, Manispaa ya Morogoro, ( mwenye ushungi mwekundu ) akimwaonesha viongozi waliomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichangani, Manispaa ya Morogoro kwa ajili ya kupata maelezo ya kina kuhusu tiba yake hiyo ( anaye mfuatia ) ni mwandishi wa habari aliyetembelea eneo hilo Machi 31, mwaka huu wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Said Mwambungu ( hayupo pichani), kazi hiyo ameianza machi 30, mwaka huu na kikombe ni 'bati' (sh. 200/-) .
Habari kwa hisani ya Jumamtanda

Comments