NJIA YA MAWASILIANO NA JUMUIYA YA WATANZANIA LONDON



Ndugu watanzania London, kwa niaba ya uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Pokea njia ya mawasiliano na uongozi wenu.

Mawasiliano na Uongozi tumia:-
e-mail: communication.ta.london@gmail.com
phone: (+44) 07940929447

Mwenyekiti wa Jumuiya:-
e-mail: chairman.ta.london@gmail.com
phone: (+44) 07538063536


Tunakaribisha maoni, mawazo, ushauri na ushirikiano wenu nyote. Mwenye jambo lolote msisite kuja tupo kwa ajili yenu.

Shukran

Comments