UKISTAAJABU YA MUSSA UTAONA YA.......WADAU MBEYA WAANDAMANA KUPINGA KIKOMBE CHA MABATINI KUPIGWA STOP!!
Wakazi wa jiji la mbeya na vitongoji vyake na kutoka mikoa ya jirani Sumbawanga Iringa Songea wakiandamana kuuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa Mbeya kupinga kusitishwa kwa huduma ya matibabu ya magonjwa mbalimbali anayotoa kijana JAFARI WILLINA
Wananchi wakiwa ofisi ya mkuu wa mkoa mbeya wakiwasubiri wawakilishi wao kuwapatia majibu toka kwa mkuu wa mkoa
Hii ndiyo barua ya kusitisha huduma ya tiba ya asili kwa kijana JAFARI WILLINA Iliyoandikwa na mganga mkuu wa halmashauri ya jiji la mbeya Dk Samweli Lazaro
Kwa habari zaidi tembelea Mbeyayetu
Comments
Post a Comment