Banda la TA Reading Funika bovu
Mhe. Naibu Balozi Kilumanga akijitayarisha kuchukua msosi
Bongo Fleva wakiwa mzigoni
Afisa wa Ubalozi Amosi Msanjila (kulia) akiwa na Mpwa wake ndani ya Carnival
Dello (katibu wa TA Reading) akifanya makamuzi ya kuku wa kuchoma
Mhe. Naibu Balozi akiwa na wadau wa Reading wakati wa Carnival
Wadau wa reading wakila pozi ndani ya banda na TA Reading wakiwa na Berry Black
Frank Eyembe kutoka Urban Pulse akila pozi na msanii Berry Black
Mpaka watasha walipagawa na Banda la Kibongo
Mdau Paul Onyango Kutoka Bongo Fleva (kushoto) akiwa na wadau wa Reading
Timu ya urban pulse ndani ya banda la TA Reading
Watu wa kumwaga
Umati ulikuwa wa kutisha













Comments
Post a Comment