THIS IS BHOKE FROM TANZANIA IN BIG BROTHER AMPLIFIED!!!!!!!! WHERE WE HEADING GUYS????

Comments

  1. Huyu demu kadata

    ReplyDelete
  2. In my opinion BigBrotherAfrica haina maana! Wat do people in Africa learn from it?!dnt get it...l

    ReplyDelete
  3. Jamani kibaya zaidi Bhoke na Lotus wote ni watanzania wanaotangaza kwenye kituo kimoja cha Tv, yaani Chanell 5,or EATV5, East Africa Tv...so Lotus siku ya kwanza alipoingia humo alisema hatokuwa tayari kuona anakuwa na mahusiano ndani ya jumba hilo Ok lakini sasa macho juu juu! nice..kinachoshangaza ni kuwa na mwanaume mmoja! yaani Ernest so kwa nini lakini ama wamepanga kufanya hivyo ilikunogesha 'game'?????????????? SIPATI JIBU HAPA

    ReplyDelete
  4. mh kwakweli hata mi nimechoka kbs...Hizi nyege nyengine mbaya sana..jamaa hataki ila ye yumo tu..shameless woman

    ReplyDelete
  5. for cryin out loud wat is she doing? and the man is busy conversing wit other pipo, daaang she luks desperate..irks

    ReplyDelete
  6. her atitude sucks?!?!

    ReplyDelete
  7. dah, the dude appears not having any interest....me naona aibu. yaani its like wanaenda kwenye BB with a purpose of doing all these things, its like hawana values kabisaa.

    ReplyDelete
  8. mshamba wa maji na mshamba wa mapenzi kishuna huyo....anajilaza tuu kamzigo uliishiwa petroli utafikiri wabongo tunafanya hivyo bwana....but let her enjoy though....

    ReplyDelete
  9. the girl got mad potential thts all I can say.....watever happened to havin self dignity man??

    ReplyDelete
  10. Makusudi...most think kufanya madudu mle ndani might make them stay longer..wanasahau self respect...at the end they come.out with nothing...after being played they loose both money and their dignity

    ReplyDelete
  11. pozi la ukweheeeeee

    ReplyDelete
  12. Yaani wanatutia aibusana wa Tz ao wadada,huyo Bhoke anakunywa sana wakati anajua hawezi ji control,that day alikuwa amelewa sana,na wasichana wenzie wakawa wanamcheka yeye hajielewi.

    ReplyDelete
  13. shame on her!!!!!

    ReplyDelete
  14. huku kujizalilisha jamani km kutaka umaarufu auji hivi full aibu hii kwa watanzania

    ReplyDelete
  15. ndio maana hawashindi hawajui ku play game big brother ni game

    ReplyDelete

Post a Comment