Ofisa Habari wa Kituo cha Mawasiliano cha Umoja wa Mataifa (UN) Usia Nkhoma-Ledama (kushoto) akiwa na Mtaalam wa Mambo ya Mawasiliano katika Ofisi za UN, nchini Hoyce Temu katika Banda la UN.
Pichani Juu na Chini ni Hoyce Temu akiwaelezea wanafunzi wa Shule ya Msingi Chang’ombe juu ya shughuli za UN.
Pichani Juu na Chini ni Hoyce Temu akiwaelezea wanafunzi wa Shule ya Msingi Chang’ombe juu ya shughuli za UN.
Mtaalam wa Mambo ya Mawasiliano katika Ofisi za UN, nchini Hoyce Temu akitoa maelezo juu ya miradi mbalimbali ya Elimu, maji, afya inayodhaminiwa na UN vijijini katika kusaidia jamii.
Comments
Post a Comment