Jestina akiwa katika pose na warembo kabla ya kuanza carnival
Nguo za rangi zilirembesha carnival
Dogo akiwa na mama yake ndani ya costume yake
Watoto wakiserebuka
Jestina akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Jamaican Twist
Watoto wakiwa tayari kucheza na mavazi yao rasmi
Mziki ukiendelea mtaani watot wakijiachia
chezea carnival
Wadau wakila pozi na Jestina
Jestina akijiachia na wachezaji kutoka Brazil
Parade imeanza
Washikaji wakipata menu na nguo zao za urembo
Frank akiwa mzigoni huku ngoma zikiendelea
Jestina katika pozi na wanaparade
Mtoto akiwa katika vazi maalamu linalo wakilisha michezo ya olympics itakayo fanyika mwaka kesho
Palikuwa hapatoshi watu wakumwaga
Page kutoka X-Factor aliye kuja kutoa support kwa Mish wakati wa show
Page kutoka X-Factor ya mwaka jana akiwa na wadau
Mtoto akiwa na vazi lake maalum
Mapozi
Watu ni full kujiachia live....
Msafara wa watoto ukizunguka Notting Hill
Mdau akiwa na vazi rasmi
Mrembo akitoa burudani
Mish na Jestina katika pose kabla ya kupiga show
Msanii pekee Mish aliye perfom kutoka Urban Pulse akifanya makamuzi
Kila kona na mitaa ya Notting Hill ilikuwa imefurika watu
Malori yakipita mtaani huku yakipiga mziki mzito
Mshikaji akila chambo kutoka ghorofani
Kila mtu alikuwa busy kuwa sehemu ya carnival
Baba na mwana wakifuatilia carnival kutotka dirishani
Hata wazee hawakupitwa na kitu
Salam,
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na Miss Jestina Blog wanakuletea matukio katika picha ya Notting hill Carnival iliyofanyika Jumapili tarehe 28 agosti 2011. Hii ilikuwa siku ya kwanza Carnival ya watoto ambayo hufanyika kila mwaka tangu mwaka 1964 ikifuatiwa kesho yake siku ya jumatatu ikiwa siku ya watu wazima. Maelfu ya watu zaidi walijitokeza katika mitaa ya Notting hill wakati wa Carnival ya jana ambayo ni tofauti na miaka yote pia nyongezo ya polisi 1000 wa ziada na kufanya Jumla ya polisi 6500 kwa ajili ya usalama na kufanikisha shuguli nzima ya wanachi walio hudhuria. Hii inatoka na maasi yaliyo tokea hivi karibuni katika kitongoji cha Tottenham na sehemu nyingine nchini Uingereza. Jumla ya watu 53 wanashikiliwa na polisi kutokana kutaka kufanya fujo jana katika carnival.
Hii ni Carnival kubwa kuliko zote za mabara ya ulaya na ni ya pili kwa dunia
Msanii Kutoka Urban Pulse alifanya makamuzi katika Carnival hii iliyohudhuriwa na watu wengi, mmojawapo wa wadau waliojitokeza kumuunga mkono ni msanii Page kutoka Xfactor.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE NA MISS JESTINA BLOG






Comments
Post a Comment