Bi Harusi Mtarajiwa,Lucille Damas Kombani akiwa katika tabasamu zito usiku huu wakati wa sherehe yake ya kuagwa na wazazi wake (Send Off) inayofanyika katika ukumbi wa Magadu,maeneo wa SUA,mjini Morogoro usiku huu.
Bi. Lucille Damas Kombani akiwa na Matron wake usiku huu
Lucille Damas Kombani akikata keki
Matron akimlisha kipande cha keki Bi. Harusi mtarajiwa Luicille Damas Kombani
keki ya Samaki
Mama wa Bi. Harusi,Mh. Celina Kombani akiongozana na Mke wa Rais wa Zanzibar,Mama Mwanamwema Shein wakimpongeza kijana wao usiku huu katika ukumbi wa Magadu,uliopo Mjini Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu akitoka kumpongeza Bi. Lucille.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh. Joel Bendera nae akitoka kutoa pongezi zake
Mama wa Bi. Harusi,Mh. Celina Kombani (kushoto) akiwa na Mke wa Rais wa Zanzibar,Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na Mh. Hawa Ghasia.







CongratsLucille Kombani nimeona mpz...ulipendeza mnooooo...i wish i was thea ..jaman iyo keki nimeipenda.ni samaki wakweli???
ReplyDeleteHongera mpnz mungu azid kukutangulia.
ReplyDeletecograts hun Mungu akupe nguvu
ReplyDeletewooow beautful bride
ReplyDeletejamni ulipendeza wewe duhhhhhh hadi na mimi natamni lol
ReplyDeleteCongrats mingi mingi Lucille Kombani
ReplyDeletewii ulipendeza jaman c mchezo hongera sana
ReplyDeletealipendeza sana bi dada.
ReplyDelete