Ray alikuwa na haya ya kusema kupitia mtandao wake raythegreatest.blogspot.com "Wadau nawashukuru sana kwa kuweza kunipa ushauri na kuniunga mkono kwenye kazi zangu na kufika hapa nilipo huu ni usafiri wangu mpya hii yote ni nyinyi wadau kwa kuweza kununua kazi zangu original na sio feki nawashukuru sana na pia namshukuru Mungu wangu maana yeye ndiye kila kitu waandishi sio scandle tu na mafanikio pia muyaandike."
Big up Ray! Hard work always pays!
Comments
Post a Comment