RAIS KIKWETE ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MTANGAZAJI WA TBC MAREHEMU HALIMA MCHUKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO...!!!
Rais Jakaya Kikwete akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa TBC Bw Clement Mshana wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mtangazaji Halim Mchuka leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kabla ya kwwenda kuzikwa makaburi ya Msasani baada ya Sala ya Ijumaa.
Rais Jakaya kikwete akiwapa pole wafiwa
Rais Jakaya Kikwete na waombolezaji wakiombea mwili wa Halima Mchuka
Mwili wa mtangazaji Halima Mchuka ukiwa tayari kwenda kuzikwa katika makaburi ya Msasani
Mkurugenzi wa Zamani wa TBC, Bw. Tido Mhando akiwa na waombolezaji wengine msibani
Picha na IKULU
Comments
Post a Comment