BALOZI MAAJAR ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA KENYA...!!!
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Balozi Mwanaidi Sinare Maajar akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Kenya nchini Marekani Jana tarehe 27.02.2012 kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Mazingira na Madini wa Kenya Mhe. John Njoroge. (Picha na Mindi Kasiga)
Comments
Post a Comment