MSONDO NGOMA BABA YA MUZIKI YAIBOMOA SIKINDE...!!!

 Kiongozi wa bendi ya Msondo, Saidi Mabela (kulia) akimkabidhi Saxaphone msanii mpya wa bendi hiyo Shabani Lendi Dar es Salaam leo, baada ya kuingia mkataba wa miaka miwili akitokea bendi ya Sikinde katikati ni Meneja wa bendi hiyo Saidi Kibiliti.
Msanii mpya wa Msondo Ngoma Jazz Band  Shabani Lendi akionesha umahiri wake jijini Dar es Salaam leo, baada ya kuingia mkataba wa miaka miwili akitokea bendi ya Sikinde. Aliyesimama  katikati ni Meneja wa bendi hiyo Saidi Kibiliti na kulia ni Kiongozi wa Bendi hiyo Papaa Saidi Mabera

Comments