RACHEL TEMU'S ROMANTIC BIRTHDAY GET AWAY TO ZANZIBAR WITH BEAU TONY...!!!

Rachel! Simplicity @ it's best
A romantic treat for the birthday girl from her beau 
 Hawtttttttttttttttttt couple

 Fine  Tanzanian Babe
 Shem wetu wa ukwee' 
Girls just gotta have fun

Comments

  1. Nampenda sana huyu dada ila sijui kwa nini watu wana mchukia na kumsukia majungu kila kukicha.

    ReplyDelete
  2. Katika dunia kuna watu wa kila aina..kuna ambao watakuchukia bila sababu as if wanakujua sana. Mtu akiamua kuishi maisha yake ni yake yeye. Kumchukia mtu ndo kwanza unamzidishia baraka..tuache roho mbaya wanawake wa kibongo. Kuna wengine hapendi maendeleo ya wenzao..kutwa kuandikana vibaya na kutoa comments za kijinga...

    ReplyDelete
  3. i love the whole look... just fabs

    ReplyDelete
  4. beautyful girl

    ReplyDelete
  5. Let me tell you you something watu wengi likes kuishi kimakundi kimagroup ili kunufaisha nafsi zao Anhwei si za kweli. Pindi panapokua na group kuna kusifiana uongo wenye uozo na usiokua na mafanikio hata kidogo. Mimi Rachel niliamua kujitoa kwenye hayo makundi na kuamua kuishi maisha yangu bila kufuata makundi. Pale unapoachana na makundi wanabaki kujiuliza na kutafakari nini umepata mpaka unaachana nao. Kingpin Uliwe mwenyewe unajua nini unataka. Makundi yanaleta mizozano maneno na wivu. Katika kundi wengi wao hawataki upate mafanikio wanataka uzame kwenye shied na kuomba Masada wao wa mawazo. A person like me I have seen it all and am sick and tired of that life because I know what I want am now successfully interms of love, peace and harmony. This kills them because they got non. Without forgetting they have no a permanent career. Definition of career and a job is career is something that u like to do and you enjoy it. A job might be you working just to get an income but you don't like.
    For me, I do both my career and a job matches, I love it. My job is permanent because is my career.
    I feel sorry for the damn grown ups who deals with ghouls as if they are in high school. Thank you for all the comments I really appreciate.
    The wisdom word for today is: "the strongest man is who stands alone" by Ngugi wa Thiong'o
    I will not leave under anybody's rules, I have got my power to rule my world me because that how I do define my life?

    ReplyDelete
  6. gud gal,now nakuelewa mana nilikua nasikiliza upande mmoja tu ,u have point rachel

    ReplyDelete

Post a Comment