HONGERA SANA HAKI NGOWI NA EDNA KYANDO KWA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA!!!
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Mr & Mrs Haki Ngowi wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam.
Haki Ngowi na mkewe Edna Kyando wakiwa na wasimamizi wao.
Cake ya imetulia si mchezo
Tunapenda kutoa pongezi nyingi kwa mwanalibeneke mwenzetu kaka Haki Ngowi na mke wake Edna Kyando kwa hatua hii kubwa waliyo ichukua. Mungu awabariki sana. Kwa picha zaidi tembelea hapa
Comments
Post a Comment