TASWIRA ZA WABUNGE WATEULE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUTOKA NCHINI TANZANIA WAKILA KIAPO CHAO LEO JIJINI ARUSHA...!!!

 Mwanadada Shy-Rose Bhanji akijiandaa kula kiapo 
 Shy-Rose Bhanji akila kiapo chake
 Mh. Shy-Rose akitia sahihi yake baada ya kula kiapo
Mh. Omar Kimbisa akila kiapo 
Mh. Angela Charles Kiziga akila kiapo chake
Mh. Bernard Murunya akila kiapo chake
Mh. Abdullah Ali Hassan Mwinyi akila kiapo chake 
 Mh. Charles Makongoro Nyerere akila kiapo chake
Mh. Dkt Twaha Taslima akila kiapo chake
Mh. Samuel Sitta ni muwakilishi wa Tanzania 
Huyu ndiye Speaker wa Bunge la Afrika Mashariki Mh. Ziwa kutoka Uganda, kura zilipigwa na nyingi zikamuangukia yeye.
My sis  Maryam Mbilinyi mke ya Hartmaan na msanii Jaffarai nao walikuwepo kushudia tukio hilo
Masii Lady Jay Dee aka Komandoo pia hakukosekana kushudia tukio hilo ambapo rafiki yake mpendwa Mh. Shy-Rose Bhanji alikuwa mmoja wapo ya wabunge walio kula kiapo
 My BFF William Malecela ndani ya AICC Arusha kushudia tukio hilo kulia kwake ni mke wa Mh. Abdullah Ali Hassan Mwinyi na kati ni dada Justina Shauri Desk Officer wa EALA
 Mh. Catherine Maige nae alikuwepo na kushoto kwake ni mke wa Mh. Omar Kimbisa 
 Mr & Mrs Gardner Habash wametokelezaje
Jaffari & Gardner katika pose
Shy-Rose akiwa katika picha ya pamoja na ndugu na marafiki zake walio funga safari kwenda Arusha kushudia kuapishwa kwake kuwa mbunge rasmi wa Afrika Mashariki.

Tunapenda kuwapongeza Wabunge wote walio Apishwa leo na kuwatakia kazi njema katika kulitumikia na kuliwakilisha taifa la Tanzania.

Picha kwa hisani ya: Lady Jay Dee

Comments

  1. kak skachat huitu? [url=http://associatcs.ru]FHDSGHiufd[/url]

    ReplyDelete

Post a Comment