DIAMOND AUGULIWA NA MAMA YAKE MZAZI...!!!

Kupitia tovuti yake ya This is Diamond ameandika "DAH! MAMA YANGU ANAUMWA SANA....."
Pamoja na maneno hayo Diamonda ameamua kushare nasi picha zake na mama yake kipenzi wakiwa hospitali akiwa anasubiria matibabu. Kusema ukweli picha zinasema kila kitu so tumuombee Mama Diamond  aweze kupona haraka na kurudia hali yake ya kawaida.








POLE SANA DIAMOND KWA KUUGULIWA NA MAMA CHA MUHIMU NI KUMUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU MAANA JAMBO LA MSINGI UMESHA LIFANYA AMBALO NI KUMPELEKA HOSPITALI ILI AWEZE KUPATA MATIBABU MENGINE MWACHIE MUNGU NAE AFANYE SEHEMU YAKE.
GET WELL SOON MAMA DIAMOND


Comments