DIMAMOND PLATNUMZ AFANYA SHOW KUCHANGIA WANAFUNZI WALEMAVU....!!!




Juzi jioni Ijumaa 28 September 2012, msanii mkali wa Bongo Flava Diamond Platnumz  alifanya show katika shule ya sekondari Jangwani, kwenye tamasha maalumu kwa ajili ya kuelimisha wanafunzi juu ya athari za malaria, kukusanya pesa kwa ajili ya kusaidia wanafunzi wenye ulemavu na pia kukuza vipaji vya wanafunzi. Tamasha hili liliudhuriwa na wanafunzi wa shule mbalimbali za Jijini Dar.

Picha kwa hisani ya This is Diamond

Comments

  1. This post is really a fastidious one it helps new net people, who are wishing for blogging.


    Feel free to surf to my blog: tipps blog wordpress

    ReplyDelete

Post a Comment