CATHERINE FOUNDATION YAZINDULIWA LEO JIJINI ARUSHA...!!!

Mbunge wa viti maalum bi Catherine Maggige akisomama taarifa ya Foundation yake ilivyoanza kazi mbele ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Catherine Foundation kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya ya Arusha leo Asubuhi.



Mgeni rasmi ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela Kisalimiana na wageni mbali mbali wakati alipowasili kwenye uzinduzi wa Catherine Foundation leo Asubuhi jijini arusha 







Picha mbali mbali za matukio ya uzinduzi wa Catherine Foundation ulioenda sambamba na ugawaji wa zawadi kwa walemavu wapatao 20 zawadi zilizptolewa na mbunge wa viti maalumu bi Catherine Magige kwa niaba ya Cathrine Foundation leo Asubuhi *(pichaz zote na mahmoud ahmad arusha) 




Comments