Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimfariji Mbunge wa
Jimbo la Wawi (CUF) Mhe. Hamad Rashid Mohd nyumbani kwa Mbunge huyo Mikocheni
jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mke wake bibi Kisa Mohd.

jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mke wake bibi Kisa Mohd. Kushoto ni
Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba.
Sheikh
Abdallah Issa (kushoto), akiongoza dua ya kumuombea marehemu bibi Kisa Mohd
nyumbani kwake Mikocheni Dar es Salaam.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na viongozi
mbali mbali wa vyama vya siasa na serikali katika Makaburi ya Kisutu
aliposhiriki mazishi ya bibi Kisa Mohd, mke wa Mbunge wa Wawi (CUF) Mhe. Hamad
Rashid Mohd.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiweka mchanga katika
kaburi la marehemu bibi Kisa Mohd, mke wa Mbunge wa Wawi (CUF) Mhe. Hamad Rashid
Mohd aliyezikwa katika makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam.
Viongozi
mbali mbali wa vyama vya siasa na serikali wameshiriki katika mazishi ya bibi
Kisa Mohd ambaye ni mke wa Mbunge wa Jimbo la Wawi (CUF) Mhe. Hamad
Rashid Mohd.
Mazishi
hayo yaliyofanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam na kuzikwa
katika makaburi ya kisutu, yaliongozwa na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda na
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.
Viongozi
wengine waliohudhuria ni pamoja na Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba,
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa UDP John Cheyo, Mwenyekiti wa
ADC bw. Said Miraji na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda.
Source Zanzinews
Source Zanzinews
Comments
Post a Comment