MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU WINNIE KALINGA...!!!

Kutakuwa na misa ya kumbukumbu ya mpendwa wetu Winnie Kalinga itakayo fanyika Jumapili 2 December 2012  katika kanisa la Anglican St Albano, Dar es Salaam Tanzania Saa Tatu asubuhi.

Wote mnakaribishwa.

Comments