MREMBO WA UNIQUE MODEL 2012 APATIKANA...!!!

 Mwanamitindo bora wa mwaka 2012 Catherine Masumbiga (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Unique Model Photogenic Elizabeth Pertty (kushoto) na Unique Model Talent Vestina Charles mara baada ya kutangazwa kwa mshindi.
 Mwanamitindowa mwaka 2012 Catherine Masumbiga (katikati) amepatikana jana usiku
kwenye shindano lililofanyika kwenye Klabu ya New Maisha jijini Dar es Salaam akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa pili Cesilia Michael (kushoto) na mshindi watatu Amina Ayubu.
 Washiriki waliongia tano bora
 Washiriki waliongia tano bora
 Majaji wa shindano hilo kutoka kushoto ni Gymkhana Hilal kutoka Paka Wear , Asia Idarous na Martine Kadinda
 Unique Model Talent of the year 2012 Vestina Charles akionyesha uwezowake wa kucheza jukwaani

 Wakitumbuiza mashabiki mapema kabla ya kuingia kuonyesha mavazi ya aina mbalimbali
Washiriki 12 wa shindano hilo wakiwa wamejipanga tayari kusubiri kutangazwa mshindi

Images credit: Full Shangwe Blog

Comments