Baadhi ya wafanyakazi wa idara ya uwezeshaji huduma ya mtandao wa Vodacom Tanzania wakifurahia jambo wakati wa hafla ya kukabidhi michango yao ya vifaa mbalimbali kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom, yakiwemo magodoro, vyandarua , vifaa vya ujenzi, vyakula na vinginevyo vyote vikiwa na thamani ya takribani milioni 4 kwenye kituo cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa kituo cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Halima Mpeta, ( kulia) akizungumza na mmoja wa wafanyakazi wa idara ya uwezeshaji huduma ya mtandao wa Vodacom Tanzania, Precious Huggins, wafanyakazi wa hao kupitia kampeni ya"Pamoja na Vodacom"wamechangia vifaa mbalimbali vyenye thamani ya takribani sh milioni 4 kwa watoto waishio kituoni hapo.
Baadhi ya wafanyakazi wa idara ya uwezeshaji huduma ya mtandao wa Vodacom Tanzania wakishusha magodoro wakati wa hafla ya kukabidhi michango yao ya vifaa mbalimbali kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom, vikiwemo vyandarua , vifaa vya ujenzi, vyakula na vinginevyo vyote vikiwa na thamani ya takribani sh milioni 4 kwenye kituo cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam
Mmoja wa wafanyakazi wa idara ya uwezeshaji huduma ya mtandao wa Vodacom Tanzania, Pendo Boshe, akishusha magodoro wakati wa hafla ya kukabidhi michango yao ya vifaa mbalimbali kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom, vikiwemo vyandarua , vifaa vya ujenzi, vyakula na vinginevyo vyote vikiwa na thamani ya takribani sh milioni 4 kwenye kituo cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam
Baadhi ya wafanyakazi wa idara ya uwezeshaji huduma ya mtandao wa Vodacom Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wanaoishi katika mazingira magumu wa kituo cha Mwandaliwa kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, wakati wa hafla ya kukabidhi michango yao ya vifaa mbalimbali kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom, vikiwemo vyandarua , vifaa vya ujenzi, vyakula na vinginevyo vyote vikiwa na thamani ya takribani sh milioni 4
Mwakilishi miongoni mwa wa wafanyakazi wa idara ya uwezeshaji huduma ya mtandao wa Vodacom Tanzania, Precious Huggins , akizungumza kwa niaba ya wenzake wakati wa hafla ya kukabidhi michango yao ya vifaa mbalimbali kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom, vikiwemo vyandarua , vifaa vya ujenzi, vyakula na vinginevyo vyote vikiwa na thamani ya takribani sh milioni 4 kwenye kituo cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Sal aam
Mkurugenzi wa kituo cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Halima Mpeta, akikata keki aliyokabidhiwa na wafanyakazi wa idara ya uwezeshaji huduma ya mtandao wa Vodacom Tanzania kama ishara ya upendo na moyo wa kujali wakati wafanyakazi hao walipotembelea kituoni hapo sambamba na kukabidhi michango yao ya vifaa mbalimbali kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom vyenye thamani ya takribani sh milioni 4
Comments
Post a Comment