IRENE UWOYA NA MAINDA WACHEMKA NA VIVAZI VYAO KWENYE HARUSI YA WAAIGIZAJI WENZAO.

Irene Uwoya na vazi lake huku bra na tattoo yake vikionekana
Hii ni proper fashion diaster! Fashion stylist mko wapi? Wapi Missie Popular aka Fashion Police??
Mainda nae ndo wale wale
Samahani kama ntamkera mtu na huwa mara nyingi sipendi kuongelea issue ya nguo watu wanazo vaa where ever they are ila leo nimeona niseme japo kidogo tu. Kweli jamani mtu unaenda kwenye sherehe tena harusi ya mwenzako umevaa hivi? Hawa ninao waongela hapa ni public figures aka Bongo Celebrities na kioo cha jamii. I think ni vizuri mtu kupata second opinion kabla huja toka ndani kwende kwenye shughuli.


Comments

  1. Siamini nilichokiona!! Hakika wadada sasa imekuwa too much! Sijui ni kutokujua ama ni makusudi! Hizi picha zinasikitisha kama siyo kuchekesha! Aibu tupu hii!

    ReplyDelete
  2. Its disgusting!! Hawa waigizaji wa bongo kutwa kuishi maisha ya kuigiza tu! na kutwa ku lazimisha attention! sasa hapo si bora wangelitemea naked kabisaa jamani? ndo maana hatuwaheshimu wengi wao! tabia ya kuvaa nusu uchi ni mbaya sana.

    ReplyDelete
  3. Sijaona kibaya kwa Hawa wasanii!!! Wana uhuru wa kuvaa ata chupi,,, stop hating mrs blogger

    ReplyDelete
  4. having lived in canada the better part of my life, i find that the tanzania I grew up in is totally different from what i see today. hivi hawa wasichana chipukizi the so called ma-star wana vichwa vizuri kweli? why are they walking naked?? ama kweli i can see why it is difficult for them to find husbands. the so called women stars are a very big embarrassment to tanzania. poleni sana wazazi wa hawa mabinti.

    ReplyDelete
  5. OMG,who wants to see your bra jaman??kweli no matter how urbanized they look physically but they should know that they are mentally rural

    ReplyDelete
  6. kuvaa nguo fupi hasa kwa binti si mbaya, ila isizidi kama hawa madada, zimekuwa fupisana, jamani, mbaya zaidi na wake za watu sikuizi wanatembea kama wanaenda kuoga jamani! mungu atusaidie sana na haya mavazi ya kigeni.

    ReplyDelete
  7. biashara matangazo.

    ReplyDelete
  8. wengine mnashabikia harusi za wenzenu nyinyi pete mpaka zinaota kutu

    ReplyDelete
  9. hongera.
    But utamaduni we2 sio mzuri 2nazìdi kupotea zaid. 2naacha wa mtz 2nafata wa watu. 2badilike.

    ReplyDelete

Post a Comment