Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa (wa pili kushoto), akigonganisha glasi na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (wa tatu), Meneja Mwandamizi wa Kampuni ya Samsung, Afrika Mashariki, Simon Kariithi (kulia) na Naibu Mkurugenzi Mwendeshaji, Undeshaji na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay, mara baada ya kuuzindua mpango wa ushirikiano wao, Dar es Salaam juzi, ambapo utamwezesha mteja kununua simu za Sumsung kwa malipo ya awamu. |
Comments
Post a Comment