Ofisa raslimali watu wa Vodacom Tanzania,Bw.Stephen Kisanko,akisikiliza maswali mbalimbali kutoka kwa wanafunzi wa vyuo vikuu 13 waliohudhuria katika warsha ya maandalizi na umuhimu wa vijana kujiandaa katika kuingia kwenye ajira pindi wamalizapo masomo yao ya vyuo vikuu, warsha hiyo ya 14 kufanyika hapa nchini ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania,na kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam. |
Comments
Post a Comment