WESTMINISTER ABBEY WAIOMBEA TANZANIA SIKU YA MUUNGANO IJUMAA 26.04.2013


Balozi wetu Mh Peter Kallaghe, maofisa kutoka ubalozini na baadhi ya watanzania waishio nchini Uingereza walijumuika pamoja kuhudhuria ibada hii maalum na raia wengine kutoka nchi mbalimbali.  Ibada ilianza kwa jumuiya ya Abbey kuwaombea  watanzania wote, viongozi pamoja na wanadiplomasia wote waliopo duniani na kwa ajili ya kazi maalum ya Ubalozi wetu hapa nchini Uingereza.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU WABARIKI WATANZANIA
Mh Balozi Kallaghe akisalimia na Kiongozi wa kanisa baada ya ibada.

 Mh Peter Kallaghe na Frank Eyembe
 Kutoka kushoto Abu Faraji, Caroline Chipeta, Mirium Mungula na mdau baada ya ibada
Wazee wa kazi.Chris Lukosi na Mohsin baada ya ibada

Comments