MATUSI BUNGENI, CUF NA CHADEMA WAOMBANA RADHI.


Lile sakata lililosababisha bunge kuahirishwa mara mbili mfululizo na kusababisha bajeti ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa kushindwa kuwasilishwa kutokana na baadhi ya wabunge kurushiana maneno ya kashfa na matusi na kutishiana kupigana ngumi limemalizika baada ya pande mbili zilizokuwa zikishutumiana kuombana radhi bungeni sambamba na kuundoa kurasa zilizosababisha kadhia hiyo.

Comments