VIDEO: ZAIDI YA TANI 700 ZA UNGA WA NGANO MBOVU WAKAMATWA ZANZIBAR.



 Makontena 30 yakiwa katika bandari ya Zanzibar yamezuiliwa mwaka jana Mwezi wa Mei 2012, yaliokuwa na Unga Mbovu ulioingizwa Nchi na Mfanyabiashara kwa ajili ya matumizi kwa Wananchi, ulizuiliwa kutokana na kuharibika na haufai kwa matumizi ya binaadamu.ukisubiri hatuwa ya kuuangamiza. 
Unga ukiwa katika Kontena ukiwa umeharibika na kutofaa kwa matumizi ya Binaadamu kwa Chakula, yakiwa katika bandari ya Zanzibar yakisubiri hatua za kuharibiwa na Taasisi husika.  

Comments