WADAU WA CLOUDS WATEMBELEA WAZEE WA KAZI.

MZEE WA KAZI CHRIS LUKOSI AKIMSHUKURU MDAU SHAFII
WAKIANGALIA BOXI LINAVYOPIGWA.
MKURUGENZI WA SERENGETI CHRIS LUKOSI AKIFUNGA MKATABA NA MDAU SHAFFIH DAUDA

Jana mdau Shaffih Dauda wa clouds FM akiongozana na Ismail Sota walitembelea ofisi za SERENGETI FREIGH UK kujionea jinsi boxi linavyopigwa

Pamoja na kujionea wazee wa kazi wakipiga boxi mdau Shafii ambaye pia ni mmiliki wa blog ya sports iitwayo Shaffihdauda.com aliingia mkataba wa kuwarusha hewani wazee wa kazi bila malipo kwa mwaka mzima baada ya kufurahishwa na jinsi wazee wa kazi walivyoweza kulirusha jina la Tanzania/Serengeti UK na kuwa mfano bora kwa vijana wengine wennye nia ya kujiajiri.

Comments