Mdau na Blogger Fredy Anthony Ala Nondoz ya MBA-Multimedia Marketing.

 Mdau Fredy Anthony ambaye ni Head of Group Research and Product Development wa Tone Multimedia Group , akiwa Nje ya ukumbi wa Dewan Tun Canselor   Mara baada kupata shahada yake ya pili  (Master of Business administration - Multimedia Marketing)   katika Chuo kikuu cha Multimedia kilichopo Malaysia
Mdau Fredy Anthony akiwa katika Picha ya Pamoja na Marafiki walio msindikiza katika Mahafali hayo.

Comments