KUNRADHI TOKA KWANGU KWENDA KWA JAMII PRODUCTION.

Na Alex Kassuwi wa Swahili TV/Swahili Radio
Uungwana kuelimishana na kuwa katika ukurasa mmoja ni kitu muhimu sana.
Mimi na Chombo cha Habari Jamii Production hatuna tatizo tumesha elimishana
 na tunasonga mbele. Toka hapo mwanzo tupo pamoja na Jamii Production na tuatendelea kuwa nao. Ujumbe kwa  Ubalozi umefika na ninatarajia mabadiliko kitu ambacho ni muhimu katika jamii yetu.

Comments