MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD AWASILI MKOANI RUKWA KUSHIRIKI IJITIMAI YA KIMATAIFA
![]() |
| Makamu wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya aliopowasili leo tarehe 29 Septemba 2013 katika uwanja wa ndege wa Sumbawanga kwa ajili kushiriki na kufunga Ijitimai ya Kimataifa inayofanyika Mkoani Rukwa. Ijitimai ni Semina ya kiislam inayolenga kuihamasisha jamii kumcha Mungu kwa kufanya matendo mema na kuacha maovu na machafu. |
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akimsomea Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad taarifa ya Mkoa wa Rukwa katika Ikulu ndogo ya Sumbawanga.
![]() |
Baadhi ya viongozi wa dini na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar walioongozana na Makamu wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad. Katikati ni Waziri wa Habari wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Said Ali Mbarouk. Wengine ni Chief Kadhi wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis na Imam Sheikh Mziwanda Ngwali. Picha na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa







Comments
Post a Comment