| Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu,akimsikiliza Mkuu wa Idara uendelezaji biashara ya M - Pesa wa Vodacom Tanzania, Jackson Kiswaga akimwelezea jinsi huduma ya M pesa kupitia Mradi wa Mwei inavyowawezesha wajasiriamali wanawake kupata mikopo isiyokuwa na riba katika maonesho ya wiki ya huduma za kifedha na Uwekezaji,mwishoni mwa wiki. |
Comments
Post a Comment