Ujumbe huo hapo chini unajitosheleza pita ukisoma japo kimya kimya......
 |
| Babu Tale, Zamardi na Diamond ndani ya Zanzibar kwaajili ya mazishi ya Balozi Sepetu |
Habari ndo hiyo kwa wazushi. Well done Prezident wa Wasafi na leo naona ametokelezea ki Al Haj zaidi.
Diamond umefanya jambo la maana sana sote ni wapita njia! Safi sana bro.
ReplyDeleteSafi diamond umeonyesha ukomavu wako!
ReplyDeleteKila nafsi itaonja mauti well done naseeb
ReplyDeleteWell done Diomond mungu akubariki sana
ReplyDeleteYan Diamond kweli umeosha ubinadamu sana sana Mungu azidi kukuinua siyo kama hao baadhi ya bongo movie waliomsusia msiba mwenzao yan sikujui nakuonaga tu kwenye TV lakn ww ni mwanaume yan nimekusifu sana sana sana sana.umeonyesha utu mwenzako kapatwa na jambo umefika ni nzuri sana sana sana
ReplyDeleteWell done diamond
ReplyDelete