| Askofu akisoma neno wakiat wa misa ya kuuaga mwili wa marehemu Balozi Sepetu katika kanisa la Minara Miwili Zanzibar |
| Baadhi ya wana familia wa Marehemu Balozi Sepetu wakiwa kanisani humo wakati wa misa |
| Watoto wa Marehemu Balozi Sepetu Sunnah na Wema wakiwa wamesimama wakati wa Ibada |
| Wananchi waliohudhuria misa hiyo wakisali |
| Misa ya kumuombea Marehemu Balozi Sepetu ikiendelea |
| Msanii wa Bongo Movie Jackline Wolper akiwa Zanzibar kuhuduria mazishi |
Kusema kweli Da Jestina nimekupenda mnoooooooo!!!!b4 nilikuwa tu nakuskiagaskiaga lakini baada ya msiba wa babaake Wema nikawa kila wakati nataka kujua updates kuna sites wala hawajaconcentrate na tukio hili wamejifanya kupotea ila ukweeli wanaujua kuwa Wema is a superstar and she is like everywhere!!!!so nivokuwa nasearch google naona wewe ndo like kila update unaitoa,nimearijika sana!!!ujue da Jestina Wema anareal fans that no matter what tuko upande wake!!!nampenda Wema mnooooo!!!kiac cha kwamba hata kufiwa na babaake nimeumia mnoooo!!!I don want my baby aget hurt!!!ila ndo Mungu tena!!!from now onwards JG am a fan of u darling nimekupenda!!umenifariji sana,pole baby wangu WEMA SEPETU!!
ReplyDelete!the queen of bongo na hakuna kama yeye na hatotokea
Nikweli kabisa nakuunga mkono Anonymous hapo juu Wema ni Super Star na wale wanaojishauwa wapate ujumbe wao vizuri toka kwa Le MUTUZ ,NAMPONGEZA SANA DIAMOND kwani hajamuacha Wema nyuma nae kuhudhuria pili watu waige mfano kwa Dr.Cheni waache ulimbukeni
ReplyDelete