![]() |
| Wema & Le Mutuz aka King of Social Media Network |
Baada ya habari kufikia mitandao mingi ikiwemo huu wa JG kwamba kuna baadhi ya wasanii wa Bongo Movies walio goma kushirikiana na Wema katika msiba wa Baba yake, hatimaye mzee wa makavu live aka straight talker Le Mutuz aamua kufunguka wa kuandika kifuatacho:
@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:-
AS USUAL I ALWAYS HAVE TO SAY SOMETHING WHEN THINGS ARE HOT ON THE FACT KWAMBA WASANII WENGI WA BONGO WAMESUSIA KWENDA MSIBA WA MSANII MWENZAO SUPER STAR WEMA SEPETU KWA SABABU HAJAENDA MISIBA YAO, NI SIMPLY FOOLISH THINKING COMING FROM UNEDUCATED FOOLS. OK SO WHAT? KWANI WEMA ALIWAOMBA KWENDA KWENYE MSIBA WAKE?
LOOK HERE KAMA MIMI SIJI MSIBA WAKO MAANA YAKE NI SITEGEMEI WEWE UJE KWENYE WANGU, FULL STOP!! I CAN UNDERSTAND KAMA WEMA ANGEKUWA WA KWANZA KULALAMIKA KWAMBA WASANII HAWAKWENDA SAWA THEN HAWA WASANII WANGEKUWA NA HAKI YA KUTAMBA KWAMBA WAMEMSUSIA OTHERWISE I SEE THEM PLAYING FOOLS WITH THEMSELVES, MSIBA WA WEMA UMEHUDHURIWA MPAKA NA RAIS WA JAMHURI, MAKAMU WAKE, MAWAZIRI HIVI KWELI ALIWAHITAJI HAWA WASANII MBURULAZZZ FOOLS? OHHH PLEASE SPARE US YOUR FOOLISHNESS, I AM SURE KWAMBA WEMA WALA HAJUI KAMA HAWAKUJA CAUSE I WAS THERE JANA KULIKUWA NA WATU WENGI TU TENA MAARUFU SANA WA KILA KONA YA HILI TAIFA!!
- HAWA WASANII THEY SHOULD ALL GET A REAL JOB 9AM TO 5PM AND STOP BEING CRYING BABIES, WEMA ALIPOKOSA KWENDA KWENYE MISIBA YAO THE MESSAGE WAS VERY CLEAR KWAMBA NA WAO WASIJE WAKE LAKINI JE ALIPIGA KELELE KUWA SIENDI? SASA WAO KWA NINI WANAPIGA KELELE ZA KUTOKWENDA? NI KUJARIBU KULAZIMISHA UMAARUFU KWA NGUVU WALALAHI HAWA WOTE THEY SHOULD GET A REAL JOB NOW!!, BRAVO TO MY SUPER FRIEND SUPER STAR WEMA SEPETU!!! YOU ARE RIGHT ON THE TRACK!! GO! GO! BABY AND IT WAS KOOL JANA THAT I HAD FUN WITH YOUR MAMA SHE IS KOOL!! - LE MUTUZ

Hahahah...well said mr straight talker..dey need a real job...
ReplyDeleteyan kaka umesema kitu afadhali umewapa ukweli wao wana muonea tu dada wawatu hata kama hawajaja hao baba yake wema amezikwa nawatu wajuu kuliko wanavyofikiri hahahahah yan nimefurai sana na sms yako waambie ukweli hao hawafikiri mbali safi sana kaka Le mutuz
ReplyDeleteThey are crazy and stupid. ,, ukiwaona hao wasanii wenyewe wamechokaa hawana mbele wala nyuma kazi kuhangaika tu mjiniii, wamuwache wema kipenz chetuu
ReplyDeleteYaan kaka umeongea ukweli tupu pasi unafiki lol! Bravo to u le mutuz
ReplyDeletemtu hawezi kupata nafasi ya kwenda misiba yotee.wasimlaumu au wanataka january to december afanye kazi ya moja tu ya kuzika? watu wafa kila leo.acheni lawama za kijinga.
ReplyDeleteLemutuz nimempenda bureeeeeeeeeeeee!!!!!!kwa kuwapa makavu hao wasanii yani lemutuz anaingia kwenye boti yangu!!!!WEMA SEPETU kwanza ni something else!!!!!hata wajipangajeeeee hawamuwezi ng'oooo!!!!look watu na heshima zao walioenda msibani mwa babaake WEMA????ha ha ha!!!nicheke mie,!!!!wamuache wema miaka 800!!!!!!!!!!!!!!WEMA I LUV U sooooo muchhhhhhh!!!NO ONE LIKE U!!!goo gooo goooooooooo let all haters to see u shining like a DIAMOND!!!!!!!!!
ReplyDelete