Hekaheka ilianza kusikika upande wa kwanza ambao ulimhusu Mjane ambaye alisema amefukuzwa kwenye nyumba aliyokua akiishi na mume wake na ndugu wa mume wake siku 3 baada ya mazishi.
Leo wameongea ndugu wa Marehemu pamoja na watoto wa marehemu kwa sababu mama huyo hakufanikiwa kupata watoto na marehemu mume wake.

Comments
Post a Comment