WATU ZAIDI YA 14 WAMEFARIKI PAPO HAPO LEO KATIKA AJALI YA BASI LA MORO BEST LIKITOKEA MPWAPWA KWENDA DAR. on July 30, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Baadhi ya Miili ya Marehemu muda mchache baada ya kupata ajali wakiwa wanangojea kupelekwa Hospitali. Baadhi ya wasamalia wema wakiwa wanaendelea kuokoa majeruhi na kuwaondoa waliofariki Hivi ndivyo basi lilivyo Haribika Picha na Dodoma yetu Blog Comments
Comments
Post a Comment