MAREHEMU MARIAM JARUFU AZIKIWA JANA 29 AUGUST 2014 KATIKA MAKABURI YA KINONDON.

 Padri akifanya misa ya mwisho kabla ya kuulaza mwili wa marehemu Mariam katika nyumba yake ya milele.
Mume wa marehemu akiwa na mtoto wao wakiume Baraka makaburini
Wema ambaye ni Binti mdogo wa marehemu akiwa makaburini kumsindikiza mama yake katika safari yake ya mwisho
 Waombolezaji wakiwa wanasikiliza misa

 Mwili wa marehemu Mariam ukishushwa kaburini

 Mama mzazi wa marehemu Mariam akiweka udongo kaburini kwa binti yake
 Baba mzazi wa marehemu Mariam mwenye shati la pink akiwa ametoka kweka udongo kwenye kaburi la binti yake
 Baba mdogo na mama mdogo wa marhemu wakiweka udongo kaburini
 Mume wa marehemu akiwa na mwanane Baraka tayari kwa kwenda kuweka udongo kwenye kabauri la mke wake mpendwa Mariam
 Mume na watoto wa marehemu wakitia udongo kaburini kwa mpendwa wao

 Hakika kwa udongo tumeumbwa na kwenye udongo tutarudi dah 

 Moi, Pompy & Mecky makaburini
 Moi na Rama Fundikira makaburini
 With Mwashum makaburini
 Sis Bella Brian makaburini
 Baadhi ya watu wa UK tuliohuduria mazishi katika picha ya pamoja. Walikuwepo wengi lakini hatukuweza kuwa pata wengine

R.I.P MARIAM

Comments