Afisa Mauzo wa Duka la Simu la Bei nzuri la jijini Arusha,Martha
Meena akitoa maelezo kwa wateja waliofika katika banda la duka hilo
wakati wa gulio la punguzo kubwa la bei za bidhaa za Mawasiliano
lijulikanalo kama Vodacom Expo linalofanyika siku mbili katika uwanja wa Sheakh
Amri Abeid jijini Arusha.
Afisa huduma kwa wateja wa Duka la Vodacom jijini Arusha,Samya Ulimwengu
akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika banda lao
kujipatia huduma za mawasiliano ambazo zinapatikana
katika Gulio la Vodacom Expo kwa punguzo kubwa la bei lililofanyika
katika uwanja wa Sheakh Ami Abeid jijini Arusha.
Mamia ya wakazi wa jiji la Arusha wakiwa katika Gulio la Vodacom Expo kupata
huduma mbalimbali za mawasiliano ambazo zimeuzwa kwa punguzo kubwa la bei lililofanyika kwa siku mbili katika
uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Comments
Post a Comment