Mbunifu wa Mitindo na CEO wa khetu fashion, kwa heshima na taadhima anapenda kutoa salamu za MWAKA MPYA wa 2015 kwa wadau wote popote mlipo ulimwenguni.
Nitakuwa mtovu wa fadhila endapo kama sintosema kwamba bila ninyi kwetu fashion isingelinoga.
Asanteni sana na nawashukuru kwa kampani mnayonipa, tuendelee kupendana kwani naamini pamoja tunaweza kufika pale tunapotaka, Basi tukutane tena 2015 kuna mambo mapya na makubwa sana yanakuja kutoka Kwetu Fashion na Miss Temeke
ukiachia ubunifu wa mavazi Kwetu fashion pia wanapamba watu na kuwaweka makeup kwa shughuli yoyote ile.
unaweza kuwasiliana nao kwa njia ya email au nambari yao ya simu hapo juu
Comments
Post a Comment